homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesRurebeyaswahili

Aboubakar Nibaruta : Filamu yake kuchaguliwa kua filamu yenye muonekano mzuri

Aboubakar Badi Nibaruta ni mzaliwa wa mkoani MUYINGA  mwenye maikazi yake Bujumbura ni muigizaji maarufu pia mwanafunzi wa chuo kikuu cha International University of Equator katika nyanja za “Production and Operation Management”.

Aboubakar Badi Nibaruta ndie muanzilishi wa kundi la waigizaji “AJEB-FILMS” la huko huko mkoani MUYINGA wengi walimfahamu kwa filamu zake mbili zilizofanya vizuri mnamo:

-Iyande na

-Ingaruka z’Ubuhemu

Alibahatika pia mwaka huu kujinyakulia tuzo filamu yake kua filamu yenye muonekano mzuri (images) kwenye shindano la Festicab 2019.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688