BurundiIndundi CinemaMoviesswahili

John- Kay, muigizaji wa filamu anaezidi kufanya vizuri Australia

Muigizaji wa Filamu nchini Australia pia mwenye Ukabila wa kiburundi aitwaye John -Key, Anazidi Kufanya vizuri zaidi nchini apo nakuweka kupeperusha Bendera ya Burundi kimataifa ,kupitia Ukurasa wake wa Facebook kijana uyo anazidi kuonesha furaha kubwa kwa vile Filamu yake imeweza kushiriki kwenye Festival kubwa iitwayo THE AFRICA FILM FESTIVAL ,Basi na ameweza kutowa shukrani za dhati uku akiandika:

Honestly Guys, one thing I noticed! If you pray & obey GOD. He will never leave you! Instead he will lift u up! 🙏🏼 🙏🏼 BIG congratulations to the CAST and the CREW. Cop’s Enemy has entered an other Film Festival in DALLAS America. It will be playing on Rootflix.com from 2nd of June to 6th June. TUNE in and Enjoy 🙏🏼 I can not forget to thank the people behind these big achievement GOD my everything, Young Martin The DOP, Prema Smith the Director Gabrielle Bartlett My favourite Star 🌟 John-Bosco Gahungu my brother the pusher! Jean-Pierre Yerma and Quinten Brown & Loveyta Elizabeth Brown and my mum for BIG support #THE AFRICA FILM FESTIVAL 

Kwa kweli nikijana ambae anajituma sana kwa kupambana kwenye game ya filamu nchini apo Australia uku akiwa anatangaza inchi yake ya Burundi kimataifa.

 

 

What's your reaction?

Related Posts

1 of 285