Uncategorized

John-Kay : Movie yake “Our differences” kuingia kwenye Western Sydney Films Festival

Kijana JOHN-KAY ni mrundi mwenye makaazi yake nchini AUSTRALIA pia ni kijana anaejituma kwa ajili ya kutangaza Filamu za Burundi nchini. Apo pia nikijana mwenye uwezo wakuigiza, na apo nyuma ikumbukwe kwamba kijana huyo ameweza kudema nchini Tanzania na kutengeneza Movie na baadhi ya wasanii maarufu nchini apo na movie imeweza kuitwa COP’S ENEMY na imeweza kufanya vizuri kabisa.

Basi jambo la kushangaza kwenye ukurasa wake wa Facebook tumukutana na ujumbe huu: “BIG Congratulations to my TEAM! I’m so damn Proud! We’ve been Quiet Lately… only because we’ve been working on Big things.. #OurDifferences… A Film each African and Each Australian MUST see! This Film focuses on the REAL life events… it will give a powerful understanding of Africans In Australia 🇦🇺 and Other countries! #Stereotypes #Generalizing YES there is many Africans that has done worse things in the country, and Has Destroyed Our reputation! Yes we agree! But we have “our Differences” YES there is hard working African Australians working Hard, but always Mistaken and judged daily for the wrong doings of others!

*If we don’t speak up!* Won’t Australia be like America?

This Film elaborates more, and give a better understanding!

This film has been chosen in few Festivals, one being Screened on 20th June @Mount Druit Hoyts Australia Cinema! I will be updating you in all selected festivals! Then we will organise premieres for people to see it in the whole country! All details coming soon… My Amazing TEAM I love you Amina Bilal Pira Young Martin Gertrude Mirekua Aicha Kebe Deng Abul Adam Wentworth-Perry Afsa Issa Ally Mclean Claire Shearman Daniel Kidane Ramadhani K Selemani Fadhili Fazili Fofana Tu-Sha Realboy Jennifer Queen Sonia Nshimwe Maxwell Brewer Josh Parker Kaitlyn Thor Mary Danni Obiri Yeboah Michael Jamie Morley N’Valaye Sesay Philicia Kabia Nanoh Vicki Gard Alex Tehrani Thank YOU

Cover Edited by Isaac Lugalia

Kweli kijana huu anastahili kabisa kupongezewa maana kuingia kwenye shindano kubwa nakwenda kuwakilisha Burundi nakuonesha kuwa vijana wa Burundi pia wanaweza.

Basi tumtakiye kila lakheri na ushindi…..

What's your reaction?

Related Posts

1 of 55