homepageIndundi CinemaMoviesswahili

Actress Claudine toka nchini Kenya aeleza anavyoipenda filamu za Burundi

Mwana dada Claudine anaekaa Kenya siku kwa siku anatamani aje kuwa muigizaji wa filamu maana imekuwa ndoto yake na kupitia kutazama filamu tofauti.

Basi aliweza kuongea na Indundi nakusema :

Kweli mimi sikuwa muigizaji wa filamu ila nilikuwa mpenzi sana wa filamu na nilikuwa nikitazama sana filamu za nyumbani kwetu Burundi kipindi nipo nchini Kenya kweli kwangu imekuwa mshangao sana ukonacheza Burundi pia wasanii wameanza kuigiza kama wa Tanzania kweli nimeanza kuvutiwa na kusema kwamba kumbe na mimi naweza kabisa nilichukuwa safari ya gafla na kurundi Burundi ili niweze kufanya kazi ya filamu na kwa sasa nimefanikisha. Kusema ukweli mimi sijuwi kuigiza ila ninavyoona mimi kwamba ni baada ya mwezi nitakuja kuwa msanii mzuri na nitaonekana kwenye kazi kubwa pia nitajijengea mashabiki wengi sana”. Aliongea Claudine

Kweli filamu ya Burundi imeanza kuwa kivutio kwa wasanii wengine kama Tanzania ilivyo kwa sasa na kwa mtazamo huyo lazima maendeleo yakuwe.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688