homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesRurebeyaswahili

Assouman Gahungu kanyakuwa Tunzo la Festicab2019

Baada ya msanii ajulikanae kwa jina la GAHUNGU ASSOUMANI Kutengeneza Movie yake na ikaweza kuchukuwa Tunzo ya Festicab sasa ameeleza Indundi Tv kuwa anataka ahakikishe anafanya kazi kubwa zaidi ili kuweza kufikisha Filamu za Burundi mbali nakuzitangaza kimataifa.

Pia akaongeza: Naitaji wasanii wote wa filamu inchini burundi waweze kujituma kwa sana na inatakiwa kila mtu ashik e nafasi yake ikiwa wewe ni producer ao director baki nafasi yako ili movie iweze kutoka vizuri lazima kila mtu awe nakazi yake

Ayo yamekuwa maneno ya Assumani akiwa na ojiana na indundi Tv pia inaonekana Assoumani ni muandishi mzuri wafilamu maana jambo lakushangaza pia hadi Best Actress na Best Actor wametokea kweny iyo Movie iliyo shika tunzo

Mungu abariki kazi zake !!!

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688