homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesRurebeyaswahili

Ibrahim Ic’Uburundi : Baada ya Ramadhan anakuja na hii

MSANII mkali wa filamu, wa maigizo nchini, Ibrahim Ismail maarufu Icu Burundi , anatarajia kutambulisha filamu yake mpya itakayojulikana kwa jina la “96” pia ni filamu ambayo ameweza kushirikisha wasanii wa kubwa wa nchini Tanzania kama : Irene Uwoya, Amri Athumani maarufu kama Mzee Majuto pia na Patcho Mwamba na wengine wengi.

Mkali huyo ambaye kwa sasa anatamba na filamu yake mpya inayoitwa “HAKI” aliyomshirikisha msanii Tambwe alisema filamu hiyo itatoka Julai mwaka huu.

Ibrahim aliambia INDUNDI TV kwamba “filamu hiyo ina mafunzo ya kutosha huku akiamini itatoa mafunzo mengi kwa jamii na kuweza kubadili tabia zao”, alisema.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688