homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Bekiss ndani ya filamu yenye elimu na mafunzo iitwayo “Birashika”

Baada ya Bekiss kumaliza masomo yake kipindi cha mda hajapata kazi Mama yake alimsaidia kupata kazi katika kampuni moja.

Baada yakupata kazi katika kampuni ile Bekiss alijikuta akipendana na Tricia mtoto wakike wa familia ya Mkurugenzi wa hiyo kampuni nando maisha ya Bekiss alianza kubadilika sana.

Ila baada yasiku Bekiss alishawishiwa na mwanamke mmoja aitwaye Pamelle rafiki sana na Tricia hadi Bekiss arijikuta akikolea penzi la Pamella na akamsaliti Tricia. Icho nikitu kilimletea utata Bekiss.

Movie iyo mda simrefu utaipata tu.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688