homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Producer na Director wa filamu nchini Burundi kuja na hatuwa nyingine

 

Producer & Director Wise Pro ambae amesimamia movie nyingi kama QUESTION HOUSE, BURUNDIAN IN DAR, NINE SIX 96, HAKI, KAFARA na zingine nyingi baada yakudondosha wasanii wa kubwa kutoka nchini Tanzania kama Shamsa Ford, Hemed Souleiman, Jackline Wolper na wengine wengi kwa sasa anazidi kupigania na kuakikisha Tasnia ya filamu nchini Burundi imetambulika kimataifa kama anavyo fanya ila amesema kuwa kazi ambazo atazokwenda kuachia zitakuwa tofauti sana nakuleta picha nyingine kwenye tasnia yatu na nje ya nchi.

Basi tuweze kusapoti vijana wetu kwa ndoto zao maana kazi wanazo zifanya ni kubwa zaidi kuliko tunavyo washika.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688