homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Tambwe kuachia Short film mpya

Baada ya Mtayarishaji na mchezaji wa filamu nchini Burundi ahitwae HAKIZIMANA REMY maarufu kama TAMBWE, kwa sasa ameweza kuachia ShortFilm yake mpya ambayo inakuja kitofauti sana na kushangaza mashabiki wake kwa jina anayo ita NABII MRUNDI.

Indundi ilipo muuliza kwanini amependelea kufanya ivo majibu yake :

“Mimi kwanza naipenda inchi yangu ya Burundi ilio jaa amani na upendo pia nastaili kuitumikia kama kijana mpambanaji na muigizaji ili watu wote wajuwe kuwa Burundi kuna vipaji ila mbali na yote naitaji sapoti ili nifike mbali”. Alisema tambwe.

Basi tusubiri tuone kitakacho tokea

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688