homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Kwenye uzinduzi wa Filamu ya COP’S ENEMY

Mambo yalikuwa mazuri baada ya mda mrefu sana kutangazwa kwa uzinduzi wa filamu ya Cop’s Enemy iliyotengenezwa na kijana John K-ay nchini Australia pia na Tanzania kabisa watu wamejitokeza na sapoti mbali mbali kuonekana.

Mashabiki wake pia nchini Burundi vile vile wameweza kujitokeza pale kwa wingi na filamu ikaweza kuwaburudisha.

Kweli John kay nikijana anayejituma na kwa atuwa yake inaonesha wazi ataitangaza nchi yake kimataifa

Mungu azidi kumbariki kwa kazi zake

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688