homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Tanzania : Hali imekua mbaya sana kwa Seth Bosco, amekuwa mlemavu

Baada ya Seth Bosco hali yake kuzidi kuwa mbaya siku kwa siku na ni hali kabisa inayo weka uzuni sana baada ya kifo cha Steven Charles Kanumba mama kanumba ambae anajulikana kwa jina la Flora Mtegowa aneweka tegemeo lake kwa kijana wake Seth na niyeye aliye pambana na kuzidi kuinuwa Company ya KANUMBA THE GREAT FILMS na kufanikisha kutengeneza filamu ya AFTER DEATH na MALAIKA ila kwa sasa hali yake inakuwa mbaya kabisa, pia mama Kanumba anasema:

“Sina uwezo wa kumbeba na tayari Seth amekuwa mlemavu, yaani ameamka mzima aliniaga anakwenda kanisani nikamjibu sawa, alivyorudi aliniambia alijisikia vibaya kanisani, nikamwambia achukue dawa anywe lakini hadi kufika jumatatu alikuwa hawezi tena wa kubebwa iliniumiza sana. Johari hili suala alilibeba aliwatangazia wasanii wengine na bili ya Mwaisela alilipia yeye Johari”. Mama Kanumba.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688