BurundiCECAFA Challenge cuphomepageIndundi CinemaMoviesRurebeyaswahili

Baraza la Wasanii Burundi kuzindua filamu yao mpya

Leo juma mosi tarehe 2 mwezi februari mwaka 2019, Shirika la waigizaji nchini Burundi linalojulikana kama “Baraza la Wasanii Burundi”  BASABU kwa ufupi linatamani kuzindua filamu yao mpya inaoitwa “Haki”.

Filamu hio ilioteng’nezwa na Wise Pro imechezwa na wasanii tofauti kama Tambwe Remy anaojulikana kwa jina la vichekesho kama Mr Comedylogy na kampuni yake binafsi “Tambwe the Great Films”, Mista Ic’Uburundi kama Principal actors na wengine.

Uzinduzi wa filamu hio “Haki” utafanyika leo hii juma mosi tarehe 2 mwezi  Februari mwaka 2019 kuanzia saa nane jioni (14h00) kwenye NONARA Beach na kingilio ni elfu tanu (5.000Fbu) simple places na elfu kumi (10.000Fbu) VIP Places.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 717