homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Cop’s Enemy by John K-ay kuzinduliwa wiki ijayo

Nyote mnakaribishwa sasa baada ya matangazo marefu kuhusu filamu ihi ya COPS ENEMY. Ni filamu kubwa ambayo haijawahitokea nchini kwetu Burundi pia na East Africa nzima pia filamu hiyo imechezwa na kijana Mrundi ahitwae John K-ay muigizaji mkali mwenye makaazi yake nchini Australia.

Uzinduzi wa movie hiyo itakuwa juma pili tarehe 18 ogasti 2019 kwenye Hotel Source du Nil kwanzia saa kumi kamili (16h00′).

Kiingilio itakuwa pesa za Burundi elfu tanu (5.000BIF) simple places na elfu kumi (10.000BIF) VIP places.

Sote kwa tuweze kujitokeza ili kuinuwa Entertainment ya vijana wa burundi.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688