homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Mr Kefa na Hastar, wasanii wapya wanaotambulishwa na Company ya Tambwe The Great Films

Waigizaji wa Filamu nchini Burundi HASTAR pamoja na KEFA ambao wanajizoelea umaarufu mkubwa sana ndani ya Company ya Tambwe The Great Films pia na wanajituma kwa kuonesha uwezo wao mkubwa sana ndani ya Company hiyo nawameweza kufanikisha kutowa ShortFilm iitwayo KIPOFU na Soon wataenda kuitowa.

Basi tulivyo muuliza mkurugenzi wa Tambwe The Great Films Tambwe alisema :

“Mimi sina malengo ya kuinuwa tu sanaa ya Burundi ila naitaji pia kuinuwa wasanii wangu waweza kwenda kimataifa maana sanaa ni watu ndo wanao itumia basi mimi nimeona ni bora niakikishe wasanii wangu wanaanza kujulikana sasa ili kesho nije kuwaona pia wanakubalika kimataifa, maana kama wamekuja kujiunga ndani ya Company yangu wameona kwamba itawasaidia nakufika mbali na ndo sababu yamimi kugeuza mtindo ili niwasaidie watimize malengo yao niko pamoja nao na pia nawaahidi kufika mbali”. Aliongea Tambwe.

Mungu azidi kuwabariki sana waigizaji na viongozi ambao wana moyo wamaendeleo ajili ya kufikisha mbali tasnia ya filamu Burundi pia na Burundi kwa ujumla maana watu na serikali wanajivunia waigizaji wa filamu kwa upande wa kuitambulisha kisanaa na utamaduni, Mungu awabariki.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688