homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Muigizaji Nipo Nizigama na ujio wa filamu mpya

Kijana NIZIGAMA NIPO muigizaji wa filamu nchini Burundi ambae kwa sasa amejichukulia nafasi kubwa ya ustar nchini Burundi kupitia filamu iitwayo RUREBEYA na KURUBONE, hadi kwa sasa mwenye anashuudia umaarufu huyo uku akipita barabarani anaitwa.

Pia ameweza kusema kwamba : “kwa sasa nipo apa naandaa Filamu ambayo itakuja na utofauti mkubwa sana kwenye tasnia ya Filamu za Kirundi kwa iyo niseme tu kwamba wa funs wangu wanao endelea kutizama filamu yangu ya Rurebeya kwenye account yangu ya Youtube endeleeni tu maana iyo inanipa nguvu sana hadi kuwaletea filamu iitwayo KAJEMBE ambayo Soon tu mtaiona kuweni pamoja na mimi maana bila nyinyi mimi sitafanikisha”.

Kweli kijana huu anaonekana mwenye kupendwa pia na filamu zake kuvunja rekodi hadi nje ya nchi na filamu zake kuoneshwa katika Tv ya taifa RTNB pia na BETV kabisa anaonesha uwezo wake.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688