homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Ndoto yangu imekuwa kubwa sana ila Mungu amenipitisha kwa njia nisiotegemea ili kuitimiza

Katika maojiano yake na indundi mchekeshaji mkubwa nchini Burundi Famba Samba ameamuwa kujiweka wazi ili uweze kumfaamu veme.

Famba Samba ameamuwa kuweka wazi maisha yake ya sanaa hadi apa alipo.

“Naitwa Kwizera Issa ila kwajina la Sanaa naitwa samba Famba. Nimeanza kuigiza mwaka wa 2005 ndoto yangu kubwa ilikuwa nikuigiza na kuimba japo kipindi hicho uigizaji ndo ulinjia rahisi nimekuwa napenda kuimba ila enzi izo kuimba kwangu ilikuwa kama ndoto tu ilipofika mwaka 2015 ndipo niligunduwa kuwa nina kipaji cha comedy ambacho kimekuja kuwa kama ukombozi wandoto yangu japo siku nilipoanza kuigiza asilimia kubwa nilikuwa nikifanya comedy ndipo nikaanzisha mazowezi yakujikamuwa kicomedy Mungu akasaidia mwaka 2016 nikapata mfazili kutokana na talent ambayo nimekuwa nimeshakuwa nayo kipindi hicho ndipo nilicukuliwa na management ya TP Entertainment ambayo inasimamiwa na Dj Pro ndipo tukafunguwa kundi iitwayo TP Comedy ndo ikawa mwanzo wa ndoto zangu kuanza kutimia licha ya maangaiko yote
mziki ulikuwa hujanitoka kichwani maana izo ndoto mbili ndizo zilikuwa kwenye kichwa changu mungu akasaidia tukabamba kwenye comedy kiasi nusu ya East Africa ikaanza kunielewa nakunifahamu mimi ni nani na jamii kuelewa Samba Famba niyupi na anafanya nini ndipo nikasaini mkataba kwenye lebo hiyo ila nilicho mshukuru mungu nikwamba kwenye mkataba huyo ulikuwa unaniruhusu kufanya kazi nje ya lebo hiyo ndipo nikaona acha nianze sasa maswala ya mziki hivi nishamaliza Comedy nikaona acha nitimize ndoto yangu yapili
kwenye Mishe Mishe yakuanza mziki ndipo nikakutana na director logic Jamal akanisimamia kwenye maswala ya mziki na akaweza kunisimamia ngoma mbili ziitwazo ( ji control na movement).

Kwenye kazi hizo ikatokea kupendwa ji control na watu wakaanza kunifahamu na kwenye maswala ya mziki nikamshukuru Mungu kwa jambo hilo kuwa ndoto zangu zote nazitimiza nikawa nimesimama kwenye Comedy kiasi cha mda huku nikianda ngoma zangu kama ( sivyabose cover na vyarashitse ) nikapotea kabisa kwenye game ya Comedy ila nilipoona ivo nikaona navyofanya sisahihi, kwakuwa miaka inaniruhusu acha nifanye vyote kwa wakati mmoja nahivi napata madili kutoka pande zote ma show huku nauku ndoto yangu kubwa nikuitangaza nchi yangu kimataifa nakuifanya kazi yangu kuwa ndo ukombozi wa maisha yangu nami kuishi kisanii kupitia vipaji vyangu”. Samba Famba alimalizia apo.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688