homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Producer&Actor Nizigama Nippo anakuja na filamu mpya

Msanii wa filamu nchini Burundi Nippo Nizigama maarufu kama Nippo-Star mwenye makaazi yake nchini Burundi, Bujumbura, Baada ya Filamu yake ya RUREBEYA kufanya vizuri kwasasa anawaandalia mashabiki wake kazi kubwa sana ambao itakuja kuwafuraisha kwa mala nyingine.

Kwa maojiano yake na Indundi TV Nippo amesema : “Filamu yangu RUREBEYA imenichukuwa mda sana kuikamilisha ila nimejitowa kwa nguvu zangu ili kuakikisha washabiki wa filamu za Burundi warizishwe na kile ninacho kifanya, pia nimepatwa na usumbufu mkubwa maana ata wasanii wamenisumbuwa sana na yote iyo haikuwa kosa kwao maana nimefanya kazi yangu bila manager zaidi yakujisopa peke yangu mfukoni ila naamini tutapambana tu…”. Alimaliza Nippo

Kwa mtazamo wa Indundi TV imegunduwa kumbe wasanii wapo nchini ila tatizo wasaidizi wakuweka pesa akuna ili kazi iende vizuri

Towa msaada wako kuchangia maendeleo ya Buja Film.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688