homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesswahili

Tambwe Remy aonekana na kazi mpya kwa mara nyingine

Tambwe ni msanii anae jituma mda kwa mda bila kupumzika,baada ya kazi yake ya THE SHOCK Kuonekana sana na kupendwa na watu kiukweli kijana huu anaendelea kufanya vizuri siku baada ya siku na yote hio ni kwasababu ya kuleta mabadiliko kwenye tasnia ya filamu nchini Burundi, ila kutokana na ilo tumeweza kumjongelea nakumuuliza kuhusu uchapa kazi wake Tambwe amesema:

“Kiukweli mimi natumika sana kwa sababu hii kazi naishika kama kazi na ndio maana mda wote nipo natumika maana maendeleo yetu hayataletwa kwa kukaa chini bali nikwa kusimama nakukaa kabisa ndani ya kazi ndio maana mumeona baada ya mimi kuachia kazi ya THE SHOCK kwasasa nataka kuachia kazi inaitwa KISANGA pia najuwa kwamba hii kazi wataipokea vizuri na wataipenda kabisa maana tunajaribu kufanya mapinduzi kwenye tasnia nzima ya Filamu nchini kwetu. Kwa hio waigizaji wenzangu naomba wasimame kwa sana kuakikisha tunafanya kazi zenye ubora na kuleta utofauti na kazi zingine za nyumbani”. Alimaliza Tambwe.

Ikumbukwe kuwa waigizaji wa filamu nchini Burundi wakiwa na umoja na ushirikiano lazima watafika mbali.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688