homepageIndundi CinemaMoviesswahili

Ujio wa filamu mpya inayoonesha nguvu mpya

Muigizaji wa filamu nchini Burundi Augustin Philemon maarufu Balufutu ni muigizaji pia wa Comedy ila kwa sasa anaonekana kwenye Filamu ya Siriaz hadi linashangaza washabiki wake na kuwafanya waisubiri Filamu hiyo kwa hamu kubwa zaidi.
Basi Indundi tumeweza kuwasiliana nakumuuliza kuhusu iyo filamu yake amesema:

«Kusema ukweli toka kipindi naachia hii cover washabiki zangu hawajaamini kama ni mimi ila jambo moja naitaji kuwaambia nikwamba wasifikirii tu kwamba nina kipaji cha Comedy tu bali na Filamu pia maana kabla sijaanza Comedy nimekuwa nikicheza Movie za Siriaz kwa hiyo wasubiri wataona makubwa niliyo yafanya na watayapenda pia na comedy sijaacha zote mwaka huu watashuudia makubwa kutoka kwangu ,kweli washabiki wangu nawapenda sana. » Alimaliza Augustin.

Kweli sanaa na mabadiliko yake kwa njia ya Ubunifu lazima wasanii wa Burundi watafikia malengo kikubwa nikuwaunga mkono.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688