homepageCECAFA Challenge cupIndundi CinemaMoviesRurebeyaswahili

Ujio wa kijana maarufu John Kay katika nchi yake

Kijana John Kay ameweza kuwasili nchini Burundi kwa mara nyingine baada yakutembea nchi tofauti kwa kazi yake ya filamu kama wengi tunavyo jua filamu yake ya Cop’s Enemy.

John Kay ni mzaliwa wa tarafani Ruyigi  mkowani Butaganzwa na ameanza kazi yake hio ya filamu mwaka 2016 baada ya kuacha uimbaji wa music na kwa sasa ni msanii ambae anajulikana na kushika nafasi kubwa kwenye Tasnia ya filamu nchini mbalimbali Africa.

Neno moja kwake.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688