Pamella : Filamu Burundi tatizo letu sote hatuna umoja
Msanii wa filamu nchini Burundi maarufu kama Pamy Love ni dada mwenye kujituma na kutafuta maendeleo ya filamu nchini Burundi uku akiwa mwenye kupambania Tasnia ya Filamu nchini Burundi. Basi baada yakuonekana kwenye Cover…