homepageIndundi CinemaMoviesswahiliTanzania

#Tanzania Film : SwahiliFilx watowa shukrani kwa walio sapoti Gabo Zigamba

Pichani: Gabo Zigamba ,

Msanii wa Filamu nchini Tanzania Gabo Zigamba, maarufu kama Gabo ni msanii mwenye kujituma zaidi kwenye Kazi ya Filamu na anazidi kutumika Vizuri na kujipatia washabiki kila kona ya Afrika Mashariki.

Hapo ni baada ya kijana kuzinduwa filamu yake ya HATUA na Filamu hiyo imesimamiwa na SwahiliFlix Ya Tanzania ,Basi apo pameweza kujitokeza waeshimiwa pia na wasanii wakubwa wenzake, Basi kwa kupitia ukurasa wao wa Facebook SwahiliFlix wamesema

Tunashukuru wote waliohudhuria tamasha la hatua la bwana @gabozigamba lililohudhuriwa na Mheshimiwa Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo @juliana_shonza, Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Ndg. Godfrey Mngereza, Kaimu Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Dkt. Kiagho Kilonzo, msanii @mlelandro pamoja na @chuchuhansy.”

Mheshimiwa Naibu Waziri wa Habari                           Utamaduni na Michezo @juliana_shonza

                                Pichani: Yousuf mlela

Pichani: Chuchu Hans

 

What's your reaction?

Related Posts

1 of 688