Muigizaji na mtunzi wa Filamu nchini Burundi maarufu kama Tambwe kwa sasa ni kijana anaejitafutia umaarufu kwa hali ya juu pia nakutafuta maendeleo ya kazi zake nchini Burundi na anazidi kuonekana mpya kila siku kwa…
Mfariji Alain ajulikanae kwa jina BATUWA ni muigizaji wa filamu nchini Burundi na aliweza kushiriki kwenye baadhi ya movie tofauti, ila kwa upande wake anasema kuwa ameona comedy ndo kitu ambacho kina faida kubwa kwake. Basi…
Msanii wa Filamu Baby Madaha ambae ni muigizaji wa Filamu nchini Tanzania vile vile akiwa kama msanii wa Bongo Flever aliwasili nchini Burundi kwa ajili ya Show ya Isha Mashauzi, mwanadada huyo ambae amejibebea jina kwenye…
Msanii wa Filamu ajulikanae kwa jina la Hastar mkaazi wa Rumonge ila kwa sasa akiwa ameanza kutumikia kazi zake apa Bujumbura,pia nikijana ambaye amejichukulia umaarufu mkubwa kupitia Filamu ambayo ameitowa apo Rumonge…
Msanii Hakizimana Rémy maarufu kama Mr Tambwe alietambulika kwa jina ya Shortfilm ambayo imejibebea umaarufu mkubwa na hadi watu kumuita jina la Filamu hiyo "NABII MRUNDI" kwa sasa anakuja na lingine ambalo…
Kijana Happy River maarufu kama RIVER ni kijana anaye jituma sana kwa kazi zake apa nchini Burundi na anafanya movie ambazo zimeanza kukubalika ndani na nje nakujichukulia umaarufu mkubwa ,vile ikumbukwe kuwa pia ni…
Aima Blue msanii wa filamu aliye jichukulia umaarufu mkubwa mwaka 2017 kwenye filamu yake ya MISSED CALL na ameweza kutumia wasanii wakubwa pia wenye uwezo na kuweza kupata nafasi kupita kwenye Interview mbali mbali za radio…
Jacklus muigizaji wa Filamu za kiswahili nchini Burundi kwa sasa amesema kuwa anakuja kitofauti sana kwenye iyi game na amejifunza mengi sana kupitia kazi yake ya filamu kutokana na sehemu kubwa anayoipenda sana kwenye game…
Frederick Habona ambae ni msanii kutoka Tanzania nakuja nchini Burundi kwa ajili ya maandalizi ya Filamu yake mpya ambayo anatarajia kuja kuachia siku za uso na pia ameweza kushirikisha wasanii wengi nchini Burundi Pia.…
Minani Mussa maarufu kama Mo Mussa ambae ni kijana anaejituma kwenye kazi ya ku shoot movie pia na kufanya Editing, amezifanya kazi nyingi kwa kujituma na kuweza kusaidia vijana wengi kwa kupiga hatuwa ikiwa kama companya ya…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.