Kijana mwenye uwezo mkubwa wakuigiza ajulikanae kwa jina la Salumu anaendelea kufanya vizuri siku baada ya siku nakuitaji kuleta maendeleo kwenye company yake ya SALUMU THE FUTURE FILMS na kwa sasa anaitaji kuachia filamu…
Kijana Simon Mashakado anaezidi kujituma kwa kazi anazo zifanya siku kwa siku Baada ya Filamu yake ya TUNDA kufanya vizuri ameweza kukaa kimya mda mrefu uku akijifikiria kazi kubwa ambayo ataifanya. Basi ameweza kuieleza…
Jay-C Production ni nyumba ya utengenezaji wa Filamu na Music na kwa malengo yao wanacho kipanga ni kuinuwa filamu za Burundi pia waone waigizaji wamejijengea kipato kikubwa sana kwenye maisha yao ya sanaa na sio kulalamika…
Muigizaji wa filamu za kibongo, Rose Ndauka amefunguka kuhusiana na mwanaume aliyempost ikisadikiwa kuwa ni kibenten (mwanaume anaelea) wake, kuhusu mwanaume anayemtaka na kuumizwa kwenye mapenzi bila kusahau habari za…
Umurwi ukina amareresi mu gisagara ca Bujumbura "The Gift Films Society" ubandanya uvyifatamwo neza mu gukina amareresi y’akataraboneka canecane mu rurimi kavukire rw’ikirundi. Mu kiganiro gito indundi yagiranye na…
Kijana Tambwe ambae kwa sasa anaonekana sana na kazi kubwa sana kwenye Game ya Filamu nchini Burundi siku baada ya siku anazidi kuonekana kwenye mitandao ya kijamii na kazi zake mpya apo ni Baada ya Tambwe kucheza Short Film…
Waigizaji wa Filamu nchini Burundi HASTAR pamoja na KEFA ambao wanajizoelea umaarufu mkubwa sana ndani ya Company ya Tambwe The Great Films pia na wanajituma kwa kuonesha uwezo wao mkubwa sana ndani ya Company hiyo…
Baada ya Seth Bosco hali yake kuzidi kuwa mbaya siku kwa siku na ni hali kabisa inayo weka uzuni sana baada ya kifo cha Steven Charles Kanumba mama kanumba ambae anajulikana kwa jina la Flora Mtegowa aneweka tegemeo lake kwa…
Zuzu muigizaji wa filamu Burundi aliy tamba kwa kazi tofauti hadi kufikia kiwango cha kushirikishwa kwenye filamu ya MIUJIZA ambayo imesimamiwa na mkurugenzi wa company ya ESHIMA VIDEOZ Baada ya apo alipata…
Fidy ni muigizaji wa filamu za kiswahili nchini Burundi ila kwa sasa anaishi nchini Rwanda na ndipo anapo fanyia kazi yake ya sanaa. Hapa Burundi alianza kuigiza kwenye kundi la BAHO ambalo Director alikuwa anaitwa…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.