Aima Blue msanii wa filamu aliye jichukulia umaarufu mkubwa mwaka 2017 kwenye filamu yake ya MISSED CALL na ameweza kutumia wasanii wakubwa pia wenye uwezo na kuweza kupata nafasi kupita kwenye Interview mbali mbali za radio…
Jacklus muigizaji wa Filamu za kiswahili nchini Burundi kwa sasa amesema kuwa anakuja kitofauti sana kwenye iyi game na amejifunza mengi sana kupitia kazi yake ya filamu kutokana na sehemu kubwa anayoipenda sana kwenye game…
Frederick Habona ambae ni msanii kutoka Tanzania nakuja nchini Burundi kwa ajili ya maandalizi ya Filamu yake mpya ambayo anatarajia kuja kuachia siku za uso na pia ameweza kushirikisha wasanii wengi nchini Burundi Pia.…
Minani Mussa maarufu kama Mo Mussa ambae ni kijana anaejituma kwenye kazi ya ku shoot movie pia na kufanya Editing, amezifanya kazi nyingi kwa kujituma na kuweza kusaidia vijana wengi kwa kupiga hatuwa ikiwa kama companya ya…
Muigizaji NDUWIMANA Ninette anaejulikana kwa jina Déborah ambae ameshiriki kwenye hiyo Filamu ya DEBORAH na amejichukulia umaarufu mkubwa kwenye Tasnia ya Filamu akiwa bado mdogo, alivyoanza nakufikiria kuwa ni jambo la…
Kabizi ambae nikijana mchekeshaji kwenye Tasnia ya Filamu Burundi anae fahamika kama Kabizi l'eau comedien kama anavyo jiita, pia amefanya kazi kubwa nakuweza kujipatia umaarufu kwenye kazi yake pia na mashabiki siku…
Msanii Shemsa Stegy muigizaji alietamba kwenye tasnia ya filamu na uwezo mkubwa sana wa kuigiza hadi akawa kivutio kwa mashabiki wake, apo imekuwa mwaka 2012 aliigiza baadhi ya filamu nyingi na apo mwaka 2013 alianza…
Msanii Frederick Habona Michael ambae ni muigizaji nchini Tanzania na ameweza kutengeneza Filamu inayoitwa CAPTAIN HABONA alioachia mwaka jana na imetambulishwa na Comapny ya marehemu Steven Charles Kanumba iitwayo KANUMBA…
Msanii wa filamu nchini Burundi Djuma Mababi afaamikae kwa jina la Jay, baada ya yeye kufanya Filamu ya FIKRA iliyo zinduliwa mwaka huu mwezi wa Aprili chini ya Company ya Filamu TGF inayofanyia kazi Kamenge, kijana huo Jay…
Kijana Douglas Karama mwenye makaazi yake nchini Congo ametokelezea na ujio kwa kazi mpya ambao anasema kwamba itatokea kusambaa kimataifa pia amesema katika ukurasa wake wa Facebook : "Mimi sipendi kuwa mtu wakuongea…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.