Kijana aitwae Mucowintore Saidi maarufu kama Mathématique kupitia jina analotumia kwenye kazi yake ya Comedy leo ameeleza kuhusu alivyo anza kazi yake ya Filamu pia na comedy "Majina kamili naitwa Mucowintore Saidi ila…
Komediani Annastazia Exavery ‘Ebitoke’ utacheka, maana mwenyewe ameapa kumzalia mpenzi wake ambaye ni mwigizaji wa kiume wa Bongo Movies, Yusuf Mlela. Ebitoke amelisema kuwa, anawashangaa wanaomponda kwamba haendani na Mlela…
Kijana NIZIGAMA NIPO muigizaji wa filamu nchini Burundi ambae kwa sasa amejichukulia nafasi kubwa ya ustar nchini Burundi kupitia filamu iitwayo RUREBEYA na KURUBONE, hadi kwa sasa mwenye anashuudia umaarufu huyo uku akipita…
Kijana Ndayishimiye Lucien muigizaji wa filamu nchini Burundi toka mwaka 2013 ila kwa sasa yupo nchini South Africa, alianza filamu mwaka 2013 pia alikuwa na ndoto ya kuja kuwa Director mkubwa na alianza katika Company ya…
Vijana wengi wanaojishuulisha na sanaa ya uhigizaji nchini Burundi wanazidi kutowa malalamiko yao kuhusu kukosa msaada wowote kwa wadhamini wa Filamu ili kuweza kuendelesha kazi mbele. Indundi.com imeweza kukaa na wasanii…
Mr Nimba ni umwe mubantu bafise impano yo gutwenza abantu "comedien" mu ntara ya Muyinga, aratwiganira ingene yamenye ko afise iyo mpano. "Je kuva ngitangura guca ubwenge narabona ko mfise impano yo kunezereza…
Muigizaji wa filamu za lugha ya taifa KIRUNDI Bekiss kwa sasa anaonekana mwenye kujituma na kuwa na maendeleo ya kipekee kwenye tasnia ya filamu nchini Burundi. Baada yakutowa movie nyingi zenye mafunzo na maendeleo basi…
Ngitangura wamengo ndiko ndafyina ubu ndamaze kubona ivyamwa. Ni Ibrahim Ismail azwi kw'izina ry'ubuhizi "Ic'Uburundi", umwe mubarundi bariko baritwara neza mu bikorwa vy'ugukina amareresi…
Kuri uyu wa kane waraye uheze, igenekerezo rya 5 Nyakanga umwaka w'2019 niho hamenyekana urupfu rw'uwahoze akina amareresi mu gihuhu kibanyi c'Urwanda Denis Nsanzamahoro. Umuhisi Nsanzamahoro akaba…
Katika maojiano yake na indundi mchekeshaji mkubwa nchini Burundi Famba Samba ameamuwa kujiweka wazi ili uweze kumfaamu veme. Famba Samba ameamuwa kuweka wazi maisha yake ya sanaa hadi apa alipo. "Naitwa Kwizera Issa…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.