Movies

Tambwe kuachia Short film mpya

Baada ya Mtayarishaji na mchezaji wa filamu nchini Burundi ahitwae HAKIZIMANA REMY maarufu kama TAMBWE, kwa sasa ameweza kuachia ShortFilm yake mpya ambayo inakuja kitofauti sana na kushangaza mashabiki wake kwa jina anayo…