Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Hakizimana Celine ,ni binti aliyekubalika sana kwenye Tasnia ya Filamu Burundi na aliweza kujichukulia umaarufu mkubwa kwa Filamu aliyo icheza iitwayo CHOZI LA MAMA na Filamu hiyo inaweza…
Mpambanaji wa Filamu za kiswahili nchini Burundi maarufu Simon Mashakado pia kiongozi na msimamizi wa Company ya MASHAKADO ENT. ,Simon nikijana mwenye umri mdogo sana ,ila hali yake na Tasnia ya Filamu vinakuwa sambamba…
Mchezaji uyu wa Filamu Inchini Burundi kwa Jina HAWA MODRICK anaejituma kutokana na kazi zake za filamu siku kwa siku ,Pia ni binti aliye shiriki kwenye Filamu ambayo unefanyia ya All Stars Of Buja Movie iitwayo…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Kundu Fally ajulikanae kama Mr Fally, ni mmoja kati ya waigizaji wazuri nchini Burundi -Bujumbura sehemu za Kamenge. Pia alifunguwa kundi yake mwaka 2010 kwa jina la Perfect Vision of…
Migizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu Huguete anazidi kuonekana na ubora mkubwa sana kwenye kazi zake za filamu hadi kujichukulia umaarufu mkubwa sana kwenye Tasnia ya Filamu Burundi, hapo mwanzo mwana dada uyo alikuwa…
Producer wa filamu nchini Burundi kwa jina la Muhirwa Olivier maarufu kama Pops ni kijana mtengenezaji wa nyimbo za wa Star wengi pia ni Mtengenezaji wa Filam. Hapo ni baada ya kusimamisha kazi za filamu mwaka 2018 hadi sasa…
Muigizaji wa filamu nchini Burundi maarufu kama Jacklus Smasher ,kweli nikijana ambae anazidi kufanya kazi na kuleta changamoto kubwa kwenye tasnia ya Filamu. Pia ukimtazama ni kijana mwenye Bidii kubwa sana tena yenye…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu kama NIYUHIRE ALINE, ni Muigizaji mzuri ambae anajituma na kutendea haki kazi zake za uigizaji pia apo ni baada yakusema kwamba anaomba sana waigizaji wote wakike waweze kujituma na…
Kikundi cha waigizaji wa Filamu nchini Kenya maarufu kama Glightlikes Global ,ni kundi ambalo limejichukulia umaarufu mkubwa sana nchini Kenya kwa kazi zao ambazo wanazozifanya siku kwa siku ,na apa karibuni kuna kazi ambazo…
Mtayarishaji wa Filamu nchini Burundi Nyilas ni kijana mwenye uwezo mkubwa sana kwenye kazi yake ya utengenezaji wa Filamu na amejichukuliya umaarufu mkubwa sana nchini Tanzania pia na Burundi, hapo ni baada yakuona moja ya…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.