Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Mr Ernest ni kijana anaejituma sana kwenye Tasnia ya Burundi. Baada ya kutowa movies zilizowafurahisha mashabiki wa filamu, amekuwa kimya bila kutowa kazi takribani miezi 6 na katika…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Sadji Omar msanii mkongwe kwenye Tasnia ya Filamu Burundi na ameweza kushiriki na kutengeneza Filamu nyingi tofauti na kujipatia umaarufu mkubwa sana nchini, pia ameweza kutowa mafunzo…
Producer na muigizaji mkongwe, William Mtitu amesema anaamini Lulu Diva ana kipaji cha kuigiza zaidi kuliko kufanya muziki na angepata mafanikio makubwa kuliko alivyo sasa kama angejikuta kwenye kuigiza. "Ukiniuliza…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi HAKIZIMANA REMY maarufu kama Mr Tambwe baada yakufanya kazi nyingi sana nakuonekana mwenye kupambania Tasnia ya Filamu Burundi kwa njia nyingi tofauti ya maendeleo basi ni baada ya…
Company ya uandaaji wa Filamu nchini Burundi The Brothers Company ni Company inayo endelea kuleta wasanii wa nje ya nchi na kuwashirikisha kwenye kazi zao na uku wakionesha nguvu ya kutangaza nchi ya Burundi kimataifa…
Muigizaji wa filamu nchini Burundi ajulikanae kwa jina la Sadiki Henry ni muigizaji pia anahusika na utafutaji wa soko za filamu nchini Burundi hapo ni baada ya kwenda kukaa katika nchi ya Congo, kwa kurudi aliweza kukutana…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Mr Gad mwenye makao yake makuu mkoani Rumonge ,ni muigizaji ambaye anaendelea kujituma sana siku kwa siku na kazi zake kuendelea kufanya vizuri sana nchini Burundi apo ni Baada ya kijana…
Muigizaji wa Filamu kwa jina la David Kalitumba ambaye ni mwenye uraia wa kikongo ila alikuwa akifanyia Filamu nchini Burundi kaada ya kutoka Congo na alijituma sana na kusema kwamba ndo anataka aanze kuigiziya hapa Burundi…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Nemcy A.k.a Le Madame ni mwana dada ambaye anazidi kujituma sana kwenye kazi zake nakuzidi kuonekana na utofauti mkubwa sana na amezidi kuonesha uwezo mkubwa wa uchezaji na kushiriki kwenye…
Muigizaji wa filamu Papy Bienms ni msanii anaezidi kufanya vizuri kutokana na kipaji chake na kuanza kutafutwa kila sehemu kama mshiriki, na katika kazi zake ya moja iliyo mtowa inaitwa ARDHI YA CHOKWE. Basi tumeweza…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.