Muigizaji wa filamu nchini Burundi maarufu kama Mulove ni mtu mwenye kuonekana na bidii sana kwenye kazi yake ya kuigiza pia ametembea sehemu tofauti ili kutafuta maendeleo ya filamu Burundi, na baada ya yote anacho kiandaa…
Kijana Kisuba Charles maarufu kama Charles pia ni kijana anaendele kujituma kwa hali ya juu nchini Burundi nakupambania haki ya sanaa ya maigizo na ameweza kutowa sababu kubwa iliyo mpelekea hadi anaanzisha Company yake…
Muigizaji wa filamu nchini Burundi Ahishakiye Fanny maarufu kama Fanny amefunguka na kusema kwamba mimi sina ndoto kama ya mwenzangu ila nina ndoto yakuwa kama mimi. Ikumbukwe kuwa Fanny ameonekana kwenye Shortfilm iitwayo…
Katika Tasnia ya Filamu nchini Burundi kwa upande wa filamu za kiswahili ni moja ya secta iliyo kosa kabisa waigizaji wa kike ,ila Hamu ni mmoja kati ya wa actress wanaoigiza filamu za kiswahili vizuri na ameweza kushiriki…
Kijana Happy River ambae ni msimamizi wa Company yake iitwayo HOT RIVER FILMS, River ni kijana anae endelea kujituma na kutumika sana uku akiamini ipo siku atakuja kuleta mapinduzi ya sanaa, apa jana tumeona ame post picha…
Baada ya muigizaji wa filamu nchini Burundi Ibrahim Ismail maarufu kama Mr Icu Burundi kuendelea kupambana kwenye tasnia ya filamu uku akijaribu ata kuitangaza nchi yake kimataifa uku akiwa anaonekana na waigizaji wakubwa wa…
Tambwe ni msanii anae jituma mda kwa mda bila kupumzika,baada ya kazi yake ya THE SHOCK Kuonekana sana na kupendwa na watu kiukweli kijana huu anaendelea kufanya vizuri siku baada ya siku na yote hio ni kwasababu ya kuleta…
Kijana Simon Mashakado pamoja na kundi lake nzima baada ya kundi lake kuendelea kufanya vizuri mda kwa mda kwa sasa kijana huo anaonekana kwenye uwezo mkubwa katika uigizaji bila kusahau pia ndani ya tasnia ya filamu nchini…
Msanii Shabani maarufu kama Shablix ni mkurugenzi wa Company ya LA COLOMBE BLANCHE ambayo kwa sasa ina zaidi ya miaka 8 kwenye game nakufanikiwa kufanya movie zakutosha ila mbali na yote movie yake ya PENZI LA JENITA ndo…
Igisagara ca Bujumbura kigiye kwakira ku ncuro ya kabiri isango rikomeye ryo gutwenza bita «Buja Lol» kuri uyu w’Imana igenekerezo rya 10 munyoyo 2019, aho hazohurira abatwenzi (Comédiens) bava mu bihugu bitandukanye vya…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.