Baada ya Seth Bosco hali yake kuzidi kuwa mbaya siku kwa siku na ni hali kabisa inayo weka uzuni sana baada ya kifo cha Steven Charles Kanumba mama kanumba ambae anajulikana kwa jina la Flora Mtegowa aneweka tegemeo lake kwa…
Zuzu muigizaji wa filamu Burundi aliy tamba kwa kazi tofauti hadi kufikia kiwango cha kushirikishwa kwenye filamu ya MIUJIZA ambayo imesimamiwa na mkurugenzi wa company ya ESHIMA VIDEOZ Baada ya apo alipata…
Fidy ni muigizaji wa filamu za kiswahili nchini Burundi ila kwa sasa anaishi nchini Rwanda na ndipo anapo fanyia kazi yake ya sanaa. Hapa Burundi alianza kuigiza kwenye kundi la BAHO ambalo Director alikuwa anaitwa…
Muigizaji wa comedy aitwaye kwa jina la Wabenga Augustin maarufu kama Balufutu mchekeshaji maarufu kwenye Tasnia nzima ya Filamu kweli nikijana mwenye kujituma sana na kuonekana kupendwa kwenye ma show tofauti alizokuwa…
Mdogo wake marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco yupo hoi kitandani katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akisumbuliwa na tatizo la mwili kufa ganzi. Seth amepatwa na tatizo hilo ambapo mwili wake kuanzia sehemu ya kiunoni…
Bizimana Hafsa maarufu kama Mama Hafsa kwa sasa anazidi kuonekana kwenye kazi tofauti za filamu na akiwa anaonesha uwezo wake wa kuigiza nakuanza kujijengea mashabiki tofauti kila kona,na anaoneka kuwa mwenye kujituma…
Msanii afaamikae kwa jina la Abema Charles Kiongozi wa Company ya AC Company ambae anaishi Congo ila ameweza kufanikisha kuezeka Company yake nchini Burundi nakupata wasanii wazuri wenye uwezo mkubwa wa kuigiza ameonekana…
Muigizaji na mtunzi wa Filamu nchini Burundi maarufu kama Tambwe kwa sasa ni kijana anaejitafutia umaarufu kwa hali ya juu pia nakutafuta maendeleo ya kazi zake nchini Burundi na anazidi kuonekana mpya kila siku kwa…
Mfariji Alain ajulikanae kwa jina BATUWA ni muigizaji wa filamu nchini Burundi na aliweza kushiriki kwenye baadhi ya movie tofauti, ila kwa upande wake anasema kuwa ameona comedy ndo kitu ambacho kina faida kubwa kwake. Basi…
Msanii wa Filamu Baby Madaha ambae ni muigizaji wa Filamu nchini Tanzania vile vile akiwa kama msanii wa Bongo Flever aliwasili nchini Burundi kwa ajili ya Show ya Isha Mashauzi, mwanadada huyo ambae amejibebea jina kwenye…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.