Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Kundu Fally ajulikanae kama Mr Fally, ni mmoja kati ya waigizaji wazuri nchini Burundi -Bujumbura sehemu za Kamenge. Pia alifunguwa kundi yake mwaka 2010 kwa jina la Perfect Vision of…
Migizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu Huguete anazidi kuonekana na ubora mkubwa sana kwenye kazi zake za filamu hadi kujichukulia umaarufu mkubwa sana kwenye Tasnia ya Filamu Burundi, hapo mwanzo mwana dada uyo alikuwa…
Producer wa filamu nchini Burundi kwa jina la Muhirwa Olivier maarufu kama Pops ni kijana mtengenezaji wa nyimbo za wa Star wengi pia ni Mtengenezaji wa Filam. Hapo ni baada ya kusimamisha kazi za filamu mwaka 2018 hadi sasa…
Muigizaji wa filamu nchini Burundi maarufu kama Jacklus Smasher ,kweli nikijana ambae anazidi kufanya kazi na kuleta changamoto kubwa kwenye tasnia ya Filamu. Pia ukimtazama ni kijana mwenye Bidii kubwa sana tena yenye…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu kama NIYUHIRE ALINE, ni Muigizaji mzuri ambae anajituma na kutendea haki kazi zake za uigizaji pia apo ni baada yakusema kwamba anaomba sana waigizaji wote wakike waweze kujituma na…
Kikundi cha waigizaji wa Filamu nchini Kenya maarufu kama Glightlikes Global ,ni kundi ambalo limejichukulia umaarufu mkubwa sana nchini Kenya kwa kazi zao ambazo wanazozifanya siku kwa siku ,na apa karibuni kuna kazi ambazo…
Mtayarishaji wa Filamu nchini Burundi Nyilas ni kijana mwenye uwezo mkubwa sana kwenye kazi yake ya utengenezaji wa Filamu na amejichukuliya umaarufu mkubwa sana nchini Tanzania pia na Burundi, hapo ni baada yakuona moja ya…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi kwa jina la Iradukunda Zamda maarufu kama Ange apo ni baada yakufanya movie iitwayo USALITI nakuonesha uwezo mkubwa sana kwenye Filamu iyo hadi baada ya kutowa Trailer ya Filamu hio…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Mimani Shabani maarufu kama Shabani, ni kiongozi wa Company ya La Colombe Blanche ambayo inafanyia zoezi Bwiza. Pia Shabani ni kijana mwenye kujituma sana kwenye kazi zake, hapo ni baada ya…
Muigizaji wa kike ajulikanae kwa jina la Belyse Mune ni msichana mwenye uwezo wa kuigiza kila scene na uku akiitendea haki kwa uwezo mkubwa alionao. Pia ni msanii ambae ameshashiriki kwenye Filamu nyingi nchini Burundi kwa…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.