Baba mzazi wa Marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba amefariki Machi 8, 2020, saa nne asubuhi akiwa Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga. Mdogo wake Kanumba, Mjanaeli Kanumba amethibitisha. Aliugua kwa muda mrefu “Kweli Baba…
Mtayarishaji wa Filamu pia na Mchezaji wa Filamu nchini Burundi Hakizimana Eshima maarufu kama Eshima ,pia na msimamizi wa Comapany ya ESHIMA VIDEO alikuwa akifanyia kazi zake za filamu nchini Burundi na aliweza kutowa…
Mchekeshaji wa Filamu nchini Burundi aitwaye Radjabu maarufu kama Skendo Olamide ni mchekeshaji mzuri sana na kazi zake kupendwa zaidi. Ni msani ambae saa hizi ana trend kwenye mtandao wa Niho Tv ambapo comedy zake zinazidi…
RIMA maana yake RWANDA INTERNATIONAL MOVIE AWARD ni shirika ambalo linapatikana nchini Rwanda baada yakutoka kuwa National na kwa sasa kuwa international hiyo ni company ambayo imeanza toka mwaka 2012 na hapo washiriki…
Muigizaji pia na mtangazaji nchini Burundi kwa Jina la Kube Drama ambae anazidi kufanya vizuri siku kwa siku kwa sasa imeonekana kujiunga pamoja na company ya KANUMBA THE GREAT FILMS ya nchini Tanzania ambayo kwa sasa ina…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi kwa jina la JACLUS SMASHER ambae anazidi kufanya kazi zake kwa kujituma zaidi na kuonesha utofauti mkubwa sana kwenye Industry ya Filamu nchini kwetu Burundi na kujituma kwa eshima kubwa…
Muigizaji wa Filamu inchini Burundi pia na mwana music wa kirazi kipya ajulikana kwa jina la beblina, apo ni baada ya kuwa kwenye music kwa mda mulefu na kazi zake za uhimbaji alikuwa akishirikiana pamoja na mwanadada…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi kwa Jina la Morisho Gulain Maarufu kama Ommy ni kijana mwenye umri mdogo ila anafanya kazi zakurizisha watu ,hapo ni baada ya kuanzisha company yake iitwayo OMMY THE GREAT FILMS na kuanza…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi kwa Jina la Belyse maarufu Kama Yvonne, hapo ni baada ya kuacha Filamu kwa mwaka mzima na ni msichana mwenye uwezo wakuigiza Filamu zake na alikuwa akizitumika kwa kujituma na hadi…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.