Muigizaji wa Filamu nchini Burundi kwa jina la Herment Rich maarufu kama Mr H, ni kijana ambaye anajituma sana na mwenye muonekano mzuri kwenye Performance yake na anajielewa sana kwa utendaji kazi wake ,na pia ni kijana…
Msanii wa Filamu Burundi pia na Director anae zidi kufanya vizuri siku kwa siku upande wa Filamu Burundi, hapo ni baada ya kijana huyo kusimamia Filamu kubwa sana ambayo pameshiriki wasanii wakubwa sana kama Shamsa,ndani ya…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Mr John K-ay ambaye anaishi nchini Australia ila mwenye Urai wa Burundi , na hapo nchini Australia ndipo anapofanyia kazi yake, ni baada ya kijana huyo mpambanaji wa hali ya juu alizinduwa…
Msanii wa filamu nchini Burundi bwana Jaclus ambae anazidi kujituma sana siku kwa siku na kazi zake na ni mkurugenzi pia wa kundi lake binafsi BMC kwa urefu "BEST MOVIE COLLECTION ", kijana huo anazidi kuonekana na…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi kwa jina la Jaylo Jamal ni binti mrembo ambaye alikuwaga hajawahi kuonekana ata kwenye Tasnia zaidi kuwa shabiki tu wa mpira ila kwa ajabu zaidi mrembo huyo kuonekana kwenye Movie. Basi…
Msanii wa Filamu maarufu kama Nemcy kukubalika nchini Tanzania kwa ajili ya kazi anazozidi kuzifanya siku kwa siku na kuonesha ubora, ikumbukwe kwamba ni hapa nyuma tu dada huu alifanya Interview na Indundi na kusema kwamba…
Muigizaji wa filamu nchini Burundi Augustin Philemon maarufu Balufutu ni muigizaji pia wa Comedy ila kwa sasa anaonekana kwenye Filamu ya Siriaz hadi linashangaza washabiki wake na kuwafanya waisubiri Filamu hiyo kwa hamu…
Company ya utengenezaji na uandaji wa Filamu nchini Burundi The Brothers Company ambayo inazidi Kufanya vizuri siku kwa siku na kuleta utofauti mkubwa sana kwenye Tasnia ya Filamu nchini Burundi na kuzidi kuitangaza sana ya…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Mr Ernest ni kijana anaejituma sana kwenye Tasnia ya Burundi. Baada ya kutowa movies zilizowafurahisha mashabiki wa filamu, amekuwa kimya bila kutowa kazi takribani miezi 6 na katika…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Sadji Omar msanii mkongwe kwenye Tasnia ya Filamu Burundi na ameweza kushiriki na kutengeneza Filamu nyingi tofauti na kujipatia umaarufu mkubwa sana nchini, pia ameweza kutowa mafunzo…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.