Muigizaji wa Filamu nchini Burundi HAKIZIMANA REMY maarufu kama Mr Tambwe baada yakufanya kazi nyingi sana nakuonekana mwenye kupambania Tasnia ya Filamu Burundi kwa njia nyingi tofauti ya maendeleo basi ni baada ya…
Company ya uandaaji wa Filamu nchini Burundi The Brothers Company ni Company inayo endelea kuleta wasanii wa nje ya nchi na kuwashirikisha kwenye kazi zao na uku wakionesha nguvu ya kutangaza nchi ya Burundi kimataifa…
Muigizaji wa filamu nchini Burundi ajulikanae kwa jina la Sadiki Henry ni muigizaji pia anahusika na utafutaji wa soko za filamu nchini Burundi hapo ni baada ya kwenda kukaa katika nchi ya Congo, kwa kurudi aliweza kukutana…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Mr Gad mwenye makao yake makuu mkoani Rumonge ,ni muigizaji ambaye anaendelea kujituma sana siku kwa siku na kazi zake kuendelea kufanya vizuri sana nchini Burundi apo ni Baada ya kijana…
Muigizaji wa Filamu kwa jina la David Kalitumba ambaye ni mwenye uraia wa kikongo ila alikuwa akifanyia Filamu nchini Burundi kaada ya kutoka Congo na alijituma sana na kusema kwamba ndo anataka aanze kuigiziya hapa Burundi…
Muigizaji wa filamu Papy Bienms ni msanii anaezidi kufanya vizuri kutokana na kipaji chake na kuanza kutafutwa kila sehemu kama mshiriki, na katika kazi zake ya moja iliyo mtowa inaitwa ARDHI YA CHOKWE. Basi tumeweza…
UKEBURWATANS ni nyumba ya utengenezaji wa filamu nchini Burundi ambayo inaongozwa na Mama Souavis na ni Company kubwa ambayo inazidi kujibebea umaarufu mkubwa sana nchini na ndiyo imeweza kutowa tunzo kwa wasanii waliyo…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Simon Mashakado ambae anazidi kujituma siku kwa siku ajili aweze kutimiza kile kitu ambacho ame ahidi kwa washabiki wake mwaka huu,tumegunduwa baadhi ya pic zake akiwa ana shoot basi…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Jaden Vicky maarufu kwa jina la JADEN ni muigizaji mzuri wa filamu nchini Burundi na anaonekana mwenye kujituma kwa nafasi yake kuakikisha kwamba anaweza kurizisha washabiki wake wote kwa…
Cameraman na Editor wa Filamu nchini Burundi maarufu kama LOGIC JAMAL ambae nikijana mdogo sana ila anazidi kuonesha uwezo wa kuingiza siku kwa siku na kujichukulia jina pia Jamal ametengeneza Cover za filamu tofauti tena na…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.