Muigizaji wa filamu nchini Burundi maarufu kwa jina la Tambwe kama jinsi wengi walivyozowea kazi zake na kumuita NABII MRUNDI ni kijana ambaye mwaka 2019 aliweza kutumika na kufikisha tasnia ya filamu nchini Burundi sehemu…
Muigizaji wa filamu MTU NI UTU NA SIKITU Mr Euphreim Deutsch ni kijana anaejituma sana kwa kazi hapa nchini kwetu na pia anakuja na filamu yake mpya atayo kuja kuachia mda sio mrefu na ameweza kusema kwamba filamu hio…
Msanii wa filamu za kiswahili nchini Burundi Ibrahim Ismail kwa kasi yakazi anazo zifanya zenye kueleweka siku baada ya siku na kuzidi kufuraisha washabiki wake, pia kwa kuweza kutengeneza filamu nyingi nchini hadi nje ya…
Muigizaji nguli wa Filamu nchini Burundi Nizigama Nipo maarufu nwa jina la Nipo Star kwa kazi anazo zidi kufanya siku baada ya siku na kuonesha ushujaa kwenye Tasnia ya Filamu nchini, baada ya kijana huu kutengeneza Filamu…
Msanii wa filamu nchini Burundi maarufu kama Pamy Love ni dada mwenye kujituma na kutafuta maendeleo ya filamu nchini Burundi uku akiwa mwenye kupambania Tasnia ya Filamu nchini Burundi. Basi baada yakuonekana kwenye Cover…
Muigizaji wa filamu nchini Burundi maarufu kama Mulove ni mtu mwenye kuonekana na bidii sana kwenye kazi yake ya kuigiza pia ametembea sehemu tofauti ili kutafuta maendeleo ya filamu Burundi, na baada ya yote anacho kiandaa…
Kijana Kisuba Charles maarufu kama Charles pia ni kijana anaendele kujituma kwa hali ya juu nchini Burundi nakupambania haki ya sanaa ya maigizo na ameweza kutowa sababu kubwa iliyo mpelekea hadi anaanzisha Company yake…
Muigizaji wa filamu nchini Burundi Ahishakiye Fanny maarufu kama Fanny amefunguka na kusema kwamba mimi sina ndoto kama ya mwenzangu ila nina ndoto yakuwa kama mimi. Ikumbukwe kuwa Fanny ameonekana kwenye Shortfilm iitwayo…
Katika Tasnia ya Filamu nchini Burundi kwa upande wa filamu za kiswahili ni moja ya secta iliyo kosa kabisa waigizaji wa kike ,ila Hamu ni mmoja kati ya wa actress wanaoigiza filamu za kiswahili vizuri na ameweza kushiriki…
Kijana Happy River ambae ni msimamizi wa Company yake iitwayo HOT RIVER FILMS, River ni kijana anae endelea kujituma na kutumika sana uku akiamini ipo siku atakuja kuleta mapinduzi ya sanaa, apa jana tumeona ame post picha…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.