DiasporaCECAFA Challenge cuphomepageIndundi CinemaJusticeMédiasMoviesRurebeyaswahiliWorld News

John Kay safarini akiandaa kuja Burundi, Tanzania na Kenya

Inajulikana kuwa akuna msanii wa Burundi ambaye yuko nje na anazidi kufanya vizuri, baada yakuteng’neza Movie yake inayoitwa COP’S ENEMY kwasasa ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook akisema: “It’s all God’s Plan! Thank You all for the daily Prayers & Support. I am going to Tanzania on 25th. Then Burundi then Kenya. Pray for me. We are going to Leave a signature…Pray For me”. Alisema John Kay.

Pia ikumbukwe tu siyo kwa ilo pia ameweza kutowa movie nyingi na baada yake ameweza kujinyakulia tunzo nyingi sana

Pia alipo ulizwa na Indundi kuhusu ujio wake Burundi amesema: “Naitaji warundi wa kwetu pia na waigizaji wote nchini muweze kujitokeza kwa wingi siku hiyo ili tuweze kuongea mengi zaidi na kutafuta njia yakuinua tasnia yetu ya filamu nchini Burundi”.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 702