John-Kay : Movie yake “Our differences” kuingia kwenye Western Sydney Films Festival
Kijana JOHN-KAY ni mrundi mwenye makaazi yake nchini AUSTRALIA pia ni kijana anaejituma kwa ajili ya kutangaza Filamu za Burundi nchini. Apo pia nikijana mwenye uwezo wakuigiza, na apo nyuma ikumbukwe kwamba kijana huyo…