Genevieve Nnaji amepewa rasmi heshima ya kuwa member wa Academy of Motion Picture Arts and Science na hivyo kuanzia sasa ataweza kupiga kura kuchagua washindi wa tunzo za Oscars ambazo ndio tuzo kubwa zaidi za filamu…
Muigizaji wa Filamu Burundi Maarufu kwa jina la Ic'u burundi ,kwasasa yuko kwenye maandalizi ya Kazi yake Mpya inayo kuja ivi karibuni kwa kishindo kikubwa sana ,na apa nyuma tu ameachia Kazi inaitwa LOCKDOWN Aliweza…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi ajulikanae kwa jina la Kenedy Basam nikijana ambae anazidi kujituma sana kwa upande wa Filamu, ikumbukwe kwamba kijana huyo na star wa Filamu inchini Burundi alikuwa chini ya Uongozi wa…
Mtayarishaji wa Filamu nchini Burundi lea jina la Willy anazidi kupambana Filamu Ya Burundi kwa Utafauti Mkubwa sana kabisa ,Apo Mwanzo alianza kuwasaidia vijana waigizaji mkoani Rumonge na kuweza kuwasaidia kuwatolea Filamu…
Nyota wa Music wa Buja Flever pia na muigizaji wa Filamu nchini Burundi Lolilo kupatwa na kilio na kuondokewa na Baba yake Mzazi, hapo ni baada ya siku chache baba yake mdogo kuaga dunia ambae ni mdogo wa baba yake Lolilo…
Company nzima la Jay C Production wanakujia na kazi kubwa sana ambayo ni ya episode, Jay C Production ni company ya uzalishaji wa filamu inchini Burundi na inazidi kufanya vizuri siku kwa siku, na kuleta mabadiliko makubwa…
Muigizaji na muhariri wa filamu inchini Burundi, kijana ajulikanae kwa jina la Kube Drama anazidi kufanya vizuri kwa upande wa uchezaji ,pia ni editor mzuri wa filamu. Kube Drama amefanikisha kutengeneza filamu na inchi…
Muigizaji wa Filamu nchini Australia pia mwenye Ukabila wa kiburundi aitwaye John -Key, Anazidi Kufanya vizuri zaidi nchini apo nakuweka kupeperusha Bendera ya Burundi kimataifa ,kupitia Ukurasa wake wa Facebook kijana uyo…
Muigizaji wa Filamu inchini Burundi ajulikanae kwa jina la HAKIZIMANA REMY Maarufu kama Tambwe Remy ,Nikijana mwenye Bidii sana kwenye Tasnia ya Filamu Burundi na anazidi kupigania kuakikisha anatangaza Filamu za nyumbani,…
Muimbaji wa Music kwa jina la Lolilo ambae anazidi kujituma siku kwa siku na kazi zake zinazidi kutamba nchini kwetu Burundi ,na pia tukirudi nyuma Lolilo ni msanii ambae anastaili eshima yake ata kuna watu ambao bado…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.