Muigizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu kama Fexine Fanny ambae anajituma sana kwenye kazi zake za filamu nchini kwetu Burundi ,hpo ni baada yake kuzungumza mengi sana kuhusu kuwa mbunifu wa hali ya juu kwenye tasnia ya…
Msanii wa Filamu nchini Burundi Shemsa Claudine ,ambae ni mpya kwenye kizazi cha filamu Burundi ,hapo ni baada ya mda mrefu sana kukaa na kufikiria ataanza aje filamu ila alikuwa anapendelea sana afikie kuwa muigizaji tena…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi ajulikana kwa jina la Salma Hassan, ni binti mrembo kwa muonekano na anazidi kukubalika sana kwenye kazi za Filamu nchini Burundi, hapo ni baada ya kuwa mshiriki kwenye Filamu ambayo…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Mr Tambwe aonekana na ujio wa kazi nyingine mpya ambayo inaitwa NABII EZEKIEL, Ikumbukwe kwamba kijana huu Tambwe ni kijana anaepambania Filamu na kazi zake kufananishwa na nchi jirani…
Mchezaji wa Filamu nchini Burundi maarufu kwa jina la Mzungu nwenye makaazi yake mkoani Gitega baada ya kufanya interview na Indundi Tv kwa sasa anakujia bonge la kazi ambayo anatarajia kwa mda siyo mrefu kuachia kazi hiyo,…
Msanii wa Filamu nchini Burundi kwa jina NAhimana Belyse ni mmoja wa wakina dada wenye kujituma sana kwenye ulimwengu wa Filamu nchini Burundi na kuwa na muonekano tofauti kwa kila kipindi kwenye kazi zake. Dada huyo…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu kama Mr Mvuto kwa jina lake HAKIZIMANA DANNY ,ni msanii mwenye uwezo wakuigiza. Baada yakuongea na Indundi Tv kijana Mvuto ameongea mambo mengi ila ndani yake alikuwa akitowa…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi aitwaye Itangishaka Julien aonekana na utofuti mkubwa sana kwenye kazi zake, ni mda mlefu sana kijana huyo apatikani kabisa kwenye Game yoyote ile ya Filamu kutokana na hali nyingine ya…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu Mr Tambwe anakuja pia na ujio mpya wa Series ambayo kwa Upande wake itakuwa ni yenye elimu zaidi, hapo ni baada kijana huyo kujituma zaidi siku kwa siku na kuleta mapinduzi…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi ambae anatumikia kazi zake Mkoani Gitega Maarufu kama Muzungu ,kweli nikijana ambae anajituma sana kwa kweli na katika muonekano anajitaidi kutengeneza jina lake vizuri sehemu gitega kwa…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.