Muigizaji wa filamu nchini Burundi JOJO RASHMY mwenye uwezo mkubwa wakuigiza filamu kwa scene yoyote ile kwa maelezo yake pia ameshiriki kwenye filamu ambazo zimefanya vizuri apa na inje hadi kupata nafasi kubwa ya kushiriki…
Mwana dada Claudine anaekaa Kenya siku kwa siku anatamani aje kuwa muigizaji wa filamu maana imekuwa ndoto yake na kupitia kutazama filamu tofauti. Basi aliweza kuongea na Indundi nakusema : "Kweli mimi sikuwa muigizaji…
Msanii FAMBA SAMBA muigizaji wa filamu kwenye secta ya comedy ni kijana anae jituma kwa sana baada tu ya mda mrefu sana kutoonekana kwenye management yake ya Team Pro ambayo inasimamiwa na DJ Pro, Samba alikuwa ni Msanii…
Muigizaji wa filamu maarufu Icuburundi anazidi kutamba na filamu yake mpya iitwayo IRONDO. Na filamu hio kuonekana na sura mpya kwenye Industry nzima ya filamu na nikijana mwenye kujituma siku kwa siku Indundi Tv ilipo…
Muigizaji wa filamu nchini Burundi Jolie kwasasa aja naujio mpya kwenye filamu nchini Burundi baada ya kukaa mda mrefu akiwa kimya pia ni muigizaji aliye shiriki kwenye filamu nyingi sana na mwaka jana aliweza kutengeneza…
Muigizaji wa filamu nchini Burundi maarufu kwa jina la Tambwe kama jinsi wengi walivyozowea kazi zake na kumuita NABII MRUNDI ni kijana ambaye mwaka 2019 aliweza kutumika na kufikisha tasnia ya filamu nchini Burundi sehemu…
Muigizaji wa filamu MTU NI UTU NA SIKITU Mr Euphreim Deutsch ni kijana anaejituma sana kwa kazi hapa nchini kwetu na pia anakuja na filamu yake mpya atayo kuja kuachia mda sio mrefu na ameweza kusema kwamba filamu hio…
Msanii wa filamu za kiswahili nchini Burundi Ibrahim Ismail kwa kasi yakazi anazo zifanya zenye kueleweka siku baada ya siku na kuzidi kufuraisha washabiki wake, pia kwa kuweza kutengeneza filamu nyingi nchini hadi nje ya…
Muigizaji nguli wa Filamu nchini Burundi Nizigama Nipo maarufu nwa jina la Nipo Star kwa kazi anazo zidi kufanya siku baada ya siku na kuonesha ushujaa kwenye Tasnia ya Filamu nchini, baada ya kijana huu kutengeneza Filamu…
Msanii wa filamu nchini Burundi maarufu kama Pamy Love ni dada mwenye kujituma na kutafuta maendeleo ya filamu nchini Burundi uku akiwa mwenye kupambania Tasnia ya Filamu nchini Burundi. Basi baada yakuonekana kwenye Cover…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.