BurundihomepageIndundi CinemaMoviesswahili

Muigizaji maarufu nchini Burundi Ibrahim kutamba na kazi mpya

Muigizaji wa filamu maarufu Icuburundi anazidi kutamba na filamu yake mpya iitwayo IRONDO. Na filamu hio kuonekana na sura mpya kwenye Industry nzima ya filamu na nikijana mwenye kujituma siku kwa siku Indundi Tv ilipo muuliza kuhusu Target yake alisema :

Mimi nina Target kubwa sana na filamu yangu ya IRONDO maana itafanyiwa Tour kila mkoa wa Burundi ili kuakikishia mashabiki wangu wanapata kazi zangu, na pia nazidi kuwapangia kazi mpya kama nilivyo ahidi na kwa sasa sipo nchini Burundi nimekwenda nchini Tanzania kwa sababu ya maandalizi kwa hio wasubiri surprise kubwa sana kutoka kwangu maana mimi nitakuwa mkombozi wa filamu Burundi.”
Alimaliza ivo.

Ibrahim Ismaël Icuburundi kweli ni msanii anaekubalika na kila muigizaji wa filamu kutokana na kazi zake kuja na utofauti siku kwa siku na mwenye bidii ya kujituma sana.

What's your reaction?

Related Posts

1 of 702