Ni filamu ya Waigizaji wa Burundi wakishirikiana pamoja na wasanii wa nchi ya kidemokrasia ya Congo uku wakitafuta Maendeleo katika nchi hizo mbili. Na baada ya Kufanya usajili wa wasanii na wameweza kutowa orodha ya…
Msanii HAKIZIMANA Rémy maarufu mr Tambwe kwa sasa anakuja na movie mpya ihitwayo BARAKA. Baada ya Tambwe kufikiria nakuona kuwa nchini Burundi eti akuna soko ya filamu ameanza kutengeneza Épisode ili kuanza kufanya biashara…
Msanii wa filamu nchini Burundi Nippo Nizigama maarufu kama Nippo-Star mwenye makaazi yake nchini Burundi, Bujumbura, Baada ya Filamu yake ya RUREBEYA kufanya vizuri kwasasa anawaandalia mashabiki wake kazi kubwa sana ambao…
Kijana John Kay ameweza kuwasili nchini Burundi kwa mara nyingine baada yakutembea nchi tofauti kwa kazi yake ya filamu kama wengi tunavyo jua filamu yake ya Cop's Enemy. John Kay ni mzaliwa wa tarafani Ruyigi mkowani…
Kijana Simon Mashakado mwenye kabila ya kikongo ila mwanafunzi nchini Burundi, kwasasa anaendelea kufanya vizuri kwenye swala nzima la kuinuwa Tasnia ya Filamu sasa Baada yakutengeneza Movie nyingi kwasasa amekuja na TUNDA…
Inajulikana kuwa akuna msanii wa Burundi ambaye yuko nje na anazidi kufanya vizuri, baada yakuteng’neza Movie yake inayoitwa COP'S ENEMY kwasasa ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook akisema: “It’s all God’s Plan!…
Aboubakar Badi Nibaruta ni mzaliwa wa mkoani MUYINGA mwenye maikazi yake Bujumbura ni muigizaji maarufu pia mwanafunzi wa chuo kikuu cha International University of Equator katika nyanja za "Production and Operation…
Msanii wa Filamu nchini Burundi Mr Tambwe baada ya maneno mengi kuhusu kupendwa kwa Filamu yake iitwayo mr MASAKI na kuambiwa kuwa ana uwezo mkubwa pia akiendelea kuwa mbunifu akafikia malengo basi ameanza harakati za kuweza…
MSANII mkali wa filamu, wa maigizo nchini, Ibrahim Ismail maarufu Icu Burundi , anatarajia kutambulisha filamu yake mpya itakayojulikana kwa jina la "96" pia ni filamu ambayo ameweza kushirikisha wasanii wa kubwa…
Baada ya msanii ajulikanae kwa jina la GAHUNGU ASSOUMANI Kutengeneza Movie yake na ikaweza kuchukuwa Tunzo ya Festicab sasa ameeleza Indundi Tv kuwa anataka ahakikishe anafanya kazi kubwa zaidi ili kuweza kufikisha Filamu za…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.