Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Mr Tambwe aonekana na ujio wa kazi nyingine mpya ambayo inaitwa NABII EZEKIEL, Ikumbukwe kwamba kijana huu Tambwe ni kijana anaepambania Filamu na kazi zake kufananishwa na nchi jirani…
Mchezaji wa Filamu nchini Burundi maarufu kwa jina la Mzungu nwenye makaazi yake mkoani Gitega baada ya kufanya interview na Indundi Tv kwa sasa anakujia bonge la kazi ambayo anatarajia kwa mda siyo mrefu kuachia kazi hiyo,…
Msanii wa Filamu nchini Burundi kwa jina NAhimana Belyse ni mmoja wa wakina dada wenye kujituma sana kwenye ulimwengu wa Filamu nchini Burundi na kuwa na muonekano tofauti kwa kila kipindi kwenye kazi zake. Dada huyo…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu kama Mr Mvuto kwa jina lake HAKIZIMANA DANNY ,ni msanii mwenye uwezo wakuigiza. Baada yakuongea na Indundi Tv kijana Mvuto ameongea mambo mengi ila ndani yake alikuwa akitowa…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi aitwaye Itangishaka Julien aonekana na utofuti mkubwa sana kwenye kazi zake, ni mda mlefu sana kijana huyo apatikani kabisa kwenye Game yoyote ile ya Filamu kutokana na hali nyingine ya…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi maarufu Mr Tambwe anakuja pia na ujio mpya wa Series ambayo kwa Upande wake itakuwa ni yenye elimu zaidi, hapo ni baada kijana huyo kujituma zaidi siku kwa siku na kuleta mapinduzi…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi ambae anatumikia kazi zake Mkoani Gitega Maarufu kama Muzungu ,kweli nikijana ambae anajituma sana kwa kweli na katika muonekano anajitaidi kutengeneza jina lake vizuri sehemu gitega kwa…
Muigizaji wa Filamu nchini Burundi Hakizimana Celine ,ni binti aliyekubalika sana kwenye Tasnia ya Filamu Burundi na aliweza kujichukulia umaarufu mkubwa kwa Filamu aliyo icheza iitwayo CHOZI LA MAMA na Filamu hiyo inaweza…
Mpambanaji wa Filamu za kiswahili nchini Burundi maarufu Simon Mashakado pia kiongozi na msimamizi wa Company ya MASHAKADO ENT. ,Simon nikijana mwenye umri mdogo sana ,ila hali yake na Tasnia ya Filamu vinakuwa sambamba…
Mchezaji uyu wa Filamu Inchini Burundi kwa Jina HAWA MODRICK anaejituma kutokana na kazi zake za filamu siku kwa siku ,Pia ni binti aliye shiriki kwenye Filamu ambayo unefanyia ya All Stars Of Buja Movie iitwayo…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.