Muingizaji wa filamu nchini Burundi Happy River ambae anazidi kutamba kwa Filamu nakuzidi kujichukulia umaarufu mkubwa sana siku kwa siku, kweli nikijana ambaye tunazidi kuona Filamu zake na utofauti mkubwa sana na zenye…
Muigizaji wa filamu nchini Burundi KUBE DRAMA ni msanii anae jituma sana kwenye tasnia ya filamu Burundi na nikijana mwenye kujituma kwa upande wa utayarishaji wa filamu na kazi zake kuonekana kuwa bora zaidi pia Kube Drama…
Nyumba ya utengenezaji wa filamu nchini Burundi JAY C PRODUCTION ni company kubwa ambayo inazidi kusaidia wasanii wote kwa ujumla kuanzia kwa waimbaji wa nyimbo hadi kwa waigizaji wa filamu nchini Burundi na ni nyumba pia…
Muigizaji wa filamu JOY AMURI ni msanii mpya mwenye kujituma zaidi kwenye filamu japokuwa ni mpya sana ila tumeweza kuona baadhi ya filamu zake na moja iliyo fanya vizuri inaitwa KISANGA ambayo imeweza kumpa umaarufu mkubwa…
Muigizaji wa filamu nchini Burundi NDAYISMIYE LUCIEN ameweza kushiriki kwenye kazi nyingi sana za filamu apa Burundi pia na comedy apo ni baada ya miaka mi wili hayupo Burundi akiwa nchini south Africa kwa lengo lakutafuta…
Muigizaji wa filamu nchini Burundi JOJO RASHMY mwenye uwezo mkubwa wakuigiza filamu kwa scene yoyote ile kwa maelezo yake pia ameshiriki kwenye filamu ambazo zimefanya vizuri apa na inje hadi kupata nafasi kubwa ya kushiriki…
Mwana dada Claudine anaekaa Kenya siku kwa siku anatamani aje kuwa muigizaji wa filamu maana imekuwa ndoto yake na kupitia kutazama filamu tofauti. Basi aliweza kuongea na Indundi nakusema : "Kweli mimi sikuwa muigizaji…
Msanii FAMBA SAMBA muigizaji wa filamu kwenye secta ya comedy ni kijana anae jituma kwa sana baada tu ya mda mrefu sana kutoonekana kwenye management yake ya Team Pro ambayo inasimamiwa na DJ Pro, Samba alikuwa ni Msanii…
Muigizaji wa filamu maarufu Icuburundi anazidi kutamba na filamu yake mpya iitwayo IRONDO. Na filamu hio kuonekana na sura mpya kwenye Industry nzima ya filamu na nikijana mwenye kujituma siku kwa siku Indundi Tv ilipo…
Muigizaji wa filamu nchini Burundi Jolie kwasasa aja naujio mpya kwenye filamu nchini Burundi baada ya kukaa mda mrefu akiwa kimya pia ni muigizaji aliye shiriki kwenye filamu nyingi sana na mwaka jana aliweza kutengeneza…
Welcome, Login to your account.
Welcome, Create your new account
A password will be e-mailed to you.